SIMULIZI KUMBE TAMU final Mwisho

SIMULIZI EP(5) =KUMBE TAMU= 
FROUM: SIMULIZIMTANDAONI
BY AMINA. 
.
Kisha nikaanza kunyata taaratibu hadi ndani kwa john nilipofika ndani alinikumbatia na mabusu kama yote tulifanya bila uoga maana tushazoea sass ilipofika saa kumi john. Aliniomba niondoke tusionwe mie nilimwambia anisndikize basi alitaka kuvaa nikamvuta maana angechelewa kisha nikasema kwa sauti ya chini (my twende si unarudi kulala unavaa kwanini twende unisndikize my jomon.). Basi alinishika mgongo kisha tukawa tunatoka nnje tulipofika nnje tu   ghafra turiskia sauti ya baba ikisema (akina nani nyie?) tulibaki mdomo wazi na tulishindwa kukimbia mwanga mkali ulitumlika kutoka kwenye tochi ya baba haaaaaaaaaaaaa tumekamatika baba aliongea kwa sauti na asila (nyie wapuuuzi uchafu gani huuuu?)  basi baba alienda ndani na akafunga mlango kurpokucha baba alitufukuza mimi na kaka john. 

Tulianza kutembea tusjue pakwenda maana hatukuwa na ndugu basi katika safari yetu isiojulikana tulipofika msituni tulianza kupigizana kelele kati yangu na kaka john tukitupiana lawama kaka aliamua kila mtu ashike njia yake na akassitiza yakwamba mahusiano yetu yaishe nilikubali huku nikiwa mwenye hasla basi wakati john anaenda zake nilijiskia vibaya na nikaanza kutapika john aligeukabm nyuma akanitadhama kwa kwa hasila kisha akaenda zake sku hiyo nilitembea mstuni adi kukaingia giza usku baridi ilinitesasana ngulumo za wanyama wakari njaa nayo ilinitesa pia kulipo kucha nilifika mjini katika jiji la mwanza.
.
MWISHO
PART.2 inakuja

Maoni